Katika hali ya kuwashangaza wengi , msanii Chidi Benzi kutofautiana na Kala Pina wa kikosi cha mizinga, usiku wa leo naye atakuwa ni mmoja ya wasanii wa watakaofanya show katika kuazimisha miaka 13 ya kikosi pale Msasani Club. Kala pina amethibitisha hilo na kusema hawana tofauti na Chid Bemzi
VIJANA WA UVCCM MKOA WA SHINYANGA WATAKIWA KUIMARISHA UMOJA NA USHIRIKIANO
ILI KUJENGA CHAMA IMARA
-
*Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Shinyanga, Benard Werema akiwa katika picha ya
pamoja na vijana wenzake*
*Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Mabala Mlolwa...
10 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment