Mwanamuziki
wa Hiphop Bongo,Emanuel Elibarik‘Nay wa Mitego’na Mkurugenzi wa
Benchmark Production Rita Paulsen‘Madam Rita hawana tofauti, baada ya kupiga picha ya pamoja katika uzinduzi wa video ya staa wa
Bongo Fleva,Abdul Nasib‘Diamond Platinumz’uliofanyika kwenye hotel ya
Selena,Posta,Dar.
Wawili hao walipiga picha hiyo kwenye red carpet huku wakikumbatiana kama kulikuwa hakuna bifu kati yao huku kila mmoja akiwa na furaha.
Wawili hao walipiga picha hiyo kwenye red carpet huku wakikumbatiana kama kulikuwa hakuna bifu kati yao huku kila mmoja akiwa na furaha.
Hivi
karibuni Madam Rita alitangaza kumpeleka Nay mahakamani baada ya
kumdisi kwenye ngoma yake mpya ya salamu zao kuwa wasanii wanaotoka
kwenye BSS wengi wana maisha duni ingawa wanapewa mkwanja mrefu,kama
Wolter Chilambo alishinda mill.50 lakini ana maisha duni.
Hata hivyo Nay wa Mitego alipotafutwa kuzungumzia kumaliza bifu lake na Madam Rita hakupatikana kwenye simu.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment