March 08, 2014

Star wa bongo move ELIZABETH Michael Lulu’ amefunguka kuwa kwa sasa hateswi na kumbukumbu ya tukio la marehemu Steven Kanumba kama ilivyokuwa zamani.

Alipobanwa kuhusu kusumbuliwa na Kanumba aliyekuwa mpenzi wake, Lulu alisema:
“Imeshapita muda mrefu sasa, kama binadamu namkumbuka lakini siyo kama kipindi kile, ilikuwa picha ikinirudia mara kwa mara, hata hivyo sipendi sana kuzungumzia haya,” alisema.Lulu
 
Lulu  Na Marehemu Kanumba

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE