December 28, 2014

 
AFRIMA-AWARDS-660x330  

 
Vanessa Mdee akiwa na tuzo yake ya Best Female Artist in East Africa.
 
Peter Msechu akiwa amebeba tuzo kwa niaba ya Diamond Platnumz.…

 
Peter Msechu, Vanessa Mdee na Victoria Kimani katika pozi huko Lagos, Nigeria.

MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' usiku wa kuamkia leo ametwaa tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Kiume Afrika Mashariki (Best Male Artist in East Africa) kutoka Tuzo za 2014 AFRIMA zilizofanyika huko jijini Lagos nchini Nigeria.

 Mwanadada Vanessa Mdee yeye ameshinda tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Kike Afrika Mashariki (Best Female Artist in East Africa).
Tuzo ya Diamond imepokelewa na mwanamuziki Peter Msechu aliyekuwepo katika zoezi hilo la utoaji tuzo maana na yeye alikuwa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania tuzo hizo.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE