
Tumekuwa tukiona vipande tu vikioneshs nyumba ya kifahari ya Star wa Bongo Fleva Diamond Platnumz iliyopo nchini Afrika kusini. Sasa Diamond ameamua kukata mzizi wa fitina baada ya kutuwekea Video nzima ikionesha Jumba hilo la kifahari analolimiliki kwa sasa. Hii video imetuonesha Sehemu ya kwanza tu. Uskose kutazama Sehemu ya pili ya Video hii
0 MAONI YAKO:
Post a Comment