Shirikisho la kandanda la Nigeria NFF lilitoa tangazo hilo hapo jana baada kufanya mkutano na kamati ya benchi la ufundi.
Siasia alipewa jukumu hilo la kukinoa kikosi cha Super Eagles baada ya kocha wa zamani Sunday Oliseh kutangaza kujiuzulu siku ya Ijumaa.
Siasia atasaidiana na Salifu Yusuf na Emmanuel Amunike waliochaguliwa kuwa kama makocha wasaidizi
0 MAONI YAKO:
Post a Comment