March 22, 2016

Umoja wa katiba ya wananchi UKAWA wameibuka kidedea katika uchaguzi wa Mea wa jiji la Dar es salaam baada ya mgombea wake Isaya Mwita wa CHADEMA kuibuka mshindi kwa kupata kura 84 dhidi ya mgombea wa CCM Yenga Omary aliyepata kura 67. Kwa matokeo hayo, Ndugu Mwita anakuwa mea mteule wa Jiji na kuiandika Historia ya jiji hilo kuwa Meya wa kwanza toka upinzani

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE