Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA ambaye pia ni waziri mkuu mstaafu wa Tanzania na pia alikuwa mgombea urais wa CHADEMA 2015 Edward Ngoyai Lowassa ametakiwa kufika makao makuu ya jeshi la polisi nchini kwa ajili ya maojiano. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari na Umma,mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa chama hicho Tumaini Makene ametupatia Ripoti hii

0 MAONI YAKO:
Post a Comment