Mbunge wa Kigoma Mjini, Mhe. Zitto Kabwe amepandishwa Mahakama ya Kisutu
jijini Dar es salaam na kusomewa mashtaka 3 ilikiwemo la kutoa maneno
ya uchochezi yanayojenga chuki kwa Wananchi dhidi ya jeshi la polisi.
Kesi inayomkabili imeahairishwa mpaka November 26 mwaka huu.Zito alipata wasaa wa kuzungumza na waandishi wa habari na kusema;-
“”Hili ni jambo la kawaida viongozi wote wakubwa wamepitia haya,
nasikitika sana jana nimekosa mdahalo Hatuwezi kuendelea kuangalia
viongozi wa juu wa upinzani kila siku wanawekwa ndani”
Slotopia inakuletea michezo yenye burudani bila kikomo ndani ya Meridianbet
-
MERIDIANBET wanawaletea wapenzi wa kasino mtandaoni njia mpya ya
kupumzika na kufurahia msimu huu...
2 hours ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment