Matokeo rasmi ya wagombea Urais
Tunakuwekea hapa baadhi ya matokeo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama tulivyoyapata kutoka tume ya Taifa ya Uchaguzi
…Read More
Washauri matokeo ya urais kuhojiwa mahakamaniWaangalizi wa uchaguzi wa Kimataifa wameitaka Tanzania kuifanyia mabadiliko ibara ya 41(7) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuruhusu matokeo ya urais kuhojiwa mahakamani katika chaguzi zijazo.
Sambamba na maba…Read More
Lowassa aitaka NEC imtangaze kuwa Rais
Watanzania wenzangu!
Leo tarehe 29 October 2015, kwa kupitia Mgombea Mwenza wangu, Mh. Juma Duni Haji nimewasilisha rasmi malalamiko yetu kuhusu mwenendo mzima wa uchaguzi mkuu wa 2015 kwa Mwenyekiti wa Tume ya Tai…Read More
Matokeo ya uchaguzi wa rais wa ZanzibarZanzibar Electoral CommissionImage captionMaafisa wa kituo cha kuhesabia kura shehia ya Saateni, Zanzibar wakihesabu kura.
Tume ya Uchaguzi Zanzibar imetoa matokeo ya uchaguzi wa rais ambayo yamehakikiwa kutoka baadhi ya maen…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment