
Kaa tayari kwa zigo jipyaaa 👉✨#KOMELA"🔥✨ @daynanyange ft@billnass#July20#JumatanoHii#SaveTheDate #PleaseShareThisPost
Mwanamuziki toka mkoani Morogoro Dayna nyange Jumatano hii, anataraji kuachia wimbo wake mpya unaoitwa Komela. katika wimbo huo safari hii Dayna Nyange amekuja na mkali wa chaf poz Bill Nass na kuukamilisha wimbo huo uliofanyika katika studio za Free Nation chini ya Producer T. Touch
0 MAONI YAKO:
Post a Comment