
Baada ya kukaa kwa zaidi ya wiki moja tangu amefariki, Ndugu yetu
msanii wa Hip Hop toka Morogoro Albert Mangwea jioni hii tumempumzisha
katika nyumba yake ya milele katika makabuli ya Kihonda Kanisani mjini
Morogoro huku mazishi hayo yakihudhuliwa na maelfu ya watu.

Sanduku la mwili wa Marehemu Mangwea

Hili ndilo kabuli la Mangwe


Ummati wa watu ukishiriki mazishi

0 MAONI YAKO:
Post a Comment