Alshabaab fighters
Ripoti ya umoja wa mataifa
imeonya kuwa silaha zilizokuwa zikipelekwa kwa vikosi vya serikali ya
Somali zimeingia katika mikono ya kundi la Al-shabaab kutokana na
ukiukwaji wa utaratibu katika serikali.
Uchunguzi huo uliofanywa na wataalam walio huru
umesema kuwa silaha za kudungua ndege,mabomu na risasi zilizotoka nchini
Uganda na Djibout haziwezi kuwajibikiwa.Ripoti hiyo sasa inataka taifa la Somali kuwekewa vikwazo vya silaha ambavyo viliondolewa mwaka uliopita.
Wataalam hao wamesema kuwa wana ushahidi kwamba mshauri mkuu wa rais nchini Somali amekuwa akihusika na mpango wa kuwapelekea silaha
Chanzo BBC Swahili
0 MAONI YAKO:
Post a Comment